Vituko/ Comedy

VideoFUPI: Eric Omondi alivyoirudia sehemu ya wimbo wa Darassa ‘Muziki’

on

Ukitaja wakali wa Comedy Afrika Mashariki huwezi kuacha kumtaja Eric Omondi kutokea Kenya ambaye huwa anafanya covers mbalimbali za nyimbo za wasanii hasa zinazotrend na pia huzirudia baadhi ya movie, time hii ameirudia nyimbo ya Darassa ‘Muziki’ ambapo kupitia kwenye account yake ya instagram kaweka hivi vipande vya video hiyo.

Unaweza kutazama kwenye video fupi hizi hapa chini ukishatazama usiache kuniachia comment yako.

Eric Omondi Darasani…?????

A video posted by Eric Omondi (@ericomondi) on

Brah Brah Brah utaki kuvalia @darassacmg @meckykaloka ??????????????????? Semeni Ngwee niachilie

A video posted by Eric Omondi (@ericomondi) on

ULIKOSA? Darassa kusema…>>> ‘Nimeshawahi kwenda kwa Mganga wa kienyeji’, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments