Kikundi cha wachekeshaji, Orijino Comedy leo wameingia kwenye headlines.. sikiliza hii sasa, kutoka usanii mpaka Kilimo.
Jamaa wamelipia kiasi kidogo tu cha pesa alafu wakapatiwa matrekta hayo.. ndio kusema watazamia kwenye kilimo moja kwa moja??
Moja ya watu walioshuhudia jamaa wakikabidhiwa matrekta yao ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, DC Paul Makonda.
Makabidhiano ilikuwa leo MAY 28 2015 Dar ambapo mwenza0 mmoja ambae ni mgonjwa, Vengu aliwakilishwa na ndugu yake ambae alisema kuwa hali ya mgonjwa inaendelea poa na wakati wowote anaweza akaungana na wenzake kazi yao ikaendelea.