Siku ya leo October 23, 2018 chama cha Mapinduzi CCM kilikutana na wasanii kutoka Bongo Flevani na Bongo Movie pamoja na wadau kujadili mchongo na maslahi mapana kuhusu tasnia zote mbili, ambapo baadhi ya wasanii walishiriki wakiwemo Peter Msechu na Keisha ambao walipata nafasi ya kuzungumza na AYO TV.
Tazama wakizungumza kwa kubonyeza PLAY hapa chini.
Mwana FA – “Kufuata sheria asilimia 100 kunafanya maisha ya watu yawe magumu”