Premier Bet
TMDA Ad

Mix

Hali ilivyo baada ya Bunge kuvamiwa Afghanistan leo June 22 2015 (Picha)

on

Bunge Paki ii

Hali sio nzuri Afghanistan, kingine kilichochukua headlines kwenye TV za Kimataifa na Mitandaoni ni ishu ya kuvamiwa kwa Bunge la nchi hiyo, mabomu na risasi vimetumika pia !!

Wavamiaji hawakuwa nna nia njema, ripoti zinaonesha jamaa hao walikuwa sita na ni members wa Kundi la Taliban.

Polisi wamefanikiwa kuwaua jamaa hao ambao walikuwa na silaha pamoja na mabomu, hapa ninazo pichaz ambazo zinaonesha jengo la Bunge kwa ndani likiwa na moshi mzito.
Bunge Paki III

Bunge Paki

Bunge V

Wabunge wa Afghanistan wakiwa nje ya eneo la Bunge baada ya Shambulio hilo.

Bunge

Wavamiaji hao walilipua gari moja nje ya Jengo la Bunge kabla ya kuvamia ndani !! Watu 18 wameumia kwenye tukio hilo.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments