Kisarawe ni Wilaya ndani ya Mkoa wa Pwani ambayo DC wake ni Jokate Mwegelo, kuna vivutio mbalimbali vya Utalii Kisarawe ikiwemo Pango la Popo, inaaminika Popo mkubwa kuliko wote Afrika anaishi ndani ya Pango hilo.
•
AyoTV na ‘millardayo.com’ imefika kwenye Pango hilo linalosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na kushuhudia idadi kubwa ya Popo, unaambiwa asilimia kubwa ya Popo wanaoonekana DSM wanatokea Kisarawe.
Pango lenye popo mkubwa kuliko wote Afrika (+video)
Leave a comment
Leave a comment