Top Stories

Wanaosajilia wenzao kushtakiwa “kitambulisho ni chako sio cha Mkeo” (+video)

on

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema  kesho jumatatu itazifunga laini zote ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole na kutoa msisitizo kwa wanaowasajilia wenzao kwamba watashtakiwa.

“Kesho tunazima laini ambazo hazijasajiliwa, kuzima tutazima, ambao wanasajilia wenzao wajiandae kushtakiwa kitambulisho ni chako na si cha Watu kwa hiyo tujihadhari usimsajilie Mkeo wale Mumeo kufanya hivyo ni kosa”-James Kilaba, Mkurugenzi Mkuu TCRA

PANGO LENYE POPO MKUBWA KULIKO WOTE AFRIKA “POPO WA DSM WANATOKA HAPA”

Soma na hizi

Tupia Comments