Leo December 11, 2019 Nakusogezea story PART 2 ya Mariam Oberet ambaye alipata ajali December 4, 2011 iliyompa tatizo la uti wa mgongo ambapo kwa sasa hawezi kutembea na anatumia wheelchair.
Leo Mariam anatuelezea maisha yake ya uhusiano wa kimapenzi ambapo anasema “Kwa sasa siko kwenye mahusiano ila nilipopata tatizo niliingia kwenye uhusiano, boyfriend wa kwanza aliacha sababu nilipata tatizo” Mariam
“Boyfriend wa pili ni matatizo ya kawaida tu yalitokea tukaachana, boyfriend wa kwanza aliniacha siku ya Christmass na Mwaka mpya siku ya boxing day ndo aliacaha rasmi” Mariam