Mimi ni Isdory kutoka Mwanza, nilitumia Pawa Yangu kushinda milioni TSh10 kuanzia tiketi ya TSh100 ya emPawa17 Jackpot Disemba, hata kama nilikosea mechi mbili. Hii ni stori yangu…
Nilipatwa na msisimko na furaha pale nilipogundua ya kwamba kuna mshindi wa milioni TSh10 (kabla ya makato). Nilienda moja kwa moja kwenye akaunti yangu na kuangalia salio langu na kufahamu kwamba ilikua ni mimi.
Hiki kilikua kiasi kikubwa ambacho nimeshawahi kushinda, na mama yangu ndio alikua mtu wa kwanza kumwambia. Mwanzoni, hakuamini mpaka nilipomuonesha miamala ya hela.
Hela nyingi nilitumia kwenye kununua vifaa vya ujenzi. Nilinunua matofali, simenti, nililipia tripu kadhaa za mchanga kuelekea sehemu nilipokua najenga nyumba yangu, na vifaa vingine vya ujenzi.
Najivunia ya kwamba hatimaye nitaweza kumalizia nyumba yangu. Najivunia kila manunuzi niliyoyafanya. Pia imemsaidia mama yangu na kazi na biashara zake za kila siku.
Pawa Yako ya kushinda kiasi KIKUBWA kama mimi ipo juu zaidi na 500% za bonasi mpya za ushindi hapa betPawa.
Jisajili ndani ya sekunde hapa www.betpawa.co.tz/signup