Magazeti

Ni time yako kusikiliza Habari Hot kwenye Magazeti ya leo Feb 12, yakisomwa kwenye Power Breakfast.

on

Nimekuwekea hapa Magazeti yakisomwa hewani kwenye Redio leo January 28, kwenye show ya Power Breakfast ya Clouds FM, unaweza kusikiliza.

Baadhi ya taarifa zilizochukua uzito ni pamoja na WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara ya ghafla kwenye Kitengo cha Upimaji Mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam na kukuta mita zimejaa kutu baada ya kutelekezwa kwa miaka zaidi ya mitano.

WATU 11 wakiwamo watatu ambao ni mama mzazi, mtoto na mjukuu ni miongoni mwa waliofariki dunia papo hapo na wengine 29 kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali mbaya

Bonyeza play hapa chini ili kusikiliza stori zote…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments