Magazeti

Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti April 29 2016…#PowerBreakfast (+Audio)

on

April 29 2016 millardayo.com imekurekodia uchambuzi wa magazeti kutoka Power Breakfast ya Clouds FM, ni uchambuzi wa Habari zote kubwa kupitia magazeti yaliyoandikwa leo Tanzania, Hizi ni baadhi ya Habari kubwa zilizoandikwa leo.

Huyu ndiye Juliet Kairuki, Atumbuliwa na Magufuli baada ya kugomea mshahara kwa miaka mitatu adaiw ‘kula’ posho ya 400m/= akisafiri kwa siku 10 nje ya Nchi kila mwezi

Mafuriko yaua watano, yaathiri 13,000 Morogoro, Watu watano wamefariki dunia na wengine  13,933 kutoka kwenye kaya 3,095 wameathirika baada ya kutokea kwa mafuriko makubwa ya mzua zilizonyesha maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kilosa, Kilombero, Morogoro na Wilaya mpya ya Malinyi Mkoani Morogoro

Sumaye atoa masharti matatu kurejea CCM, aliyekuwa Waziri Mkuu wa awamu ya tau Fredrick Sumaye ametoa mashariti matatu aliyoyasema yakitimizwa hayo atarejea Chama cha Mapinduzi CCM.

Unaweza ukabonyeza Play hapa chini kusikiliza…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

ULIMISS MWENDESHA MASHTAKA KASEMA KILA KITU KILICHOMFANYA SIWEMA AHUKUMIWE MIAKA MIWILI JELA…

 

Soma na hizi

Tupia Comments