Magazeti

Stori kubwa kwenye uchambuzi wa Magazeti March 8 2016…#PowerBreakfast (+Audio)

on

March 8 2016 millardayo.com inakupatia fursa ya kusikiliza uchambuzi wa magazeti kupitia Power Breskfast ya Clouds FM stori kumba leo ni pamoja na hizi

Polisi Jela miaka 160 kwa kukutwa na na meno ya Tembo, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha imewahuku wa nane, wakiwamo askari Polisi wawili, kifungo cha miaka 160 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 70 vya meno ya Tembo.

Balozi Sefue atoa yake ya moyoni, Aliyekuwa katibu mkuu kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amemushukuru Rais John Magufuli kwa kumwamini na kumpa nafasi ya kumsaidia katika kipindi chake cha mpito huku akisisitiza kwamba , atashirikiana na aliyeshiaka wadhifa huo John Kijazi kujenga Tanzania mpya.

Maalim Self apumzishwa Hospitali ya Hindu Mandal, Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amepumzishwa katika Hospitali ya Hindu Mandal Jijini hapa baada ya kujisikia vibaya jana wakati akiwasili Dares salaam akitokea Zanzibar.

Unaweza ukasikiliza sauti hapa chini…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments