Kwenye stori kubwa iko ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametaja aina ya mgombea anayetaka arithi kiti cha Urais wa TZ 2015, TAKUKURU wamepewa na China Bil. 3 ili kuimarisha utendaji wao.. Usajili mpya wa line za simu nao ni ishu kubwa Magazetini leo.
Kutoka Bungeni kuna ishu ya Wabunge kugawanyika kutokana na kuongezeka kwa kodi ya mafuta, stori nyingine inahusu mazishi ya Sheikh Mkuu Mufti Simba… Jaji Mutungi amekataa kujadili Wagombea CCM.
Kinana ametaka Wanachama wa CCM kuikosoa Serikali ikikosea, kuna stori pia kwamba majina ya warithi wa Mufti Shaaban Simba yametajwa.
Sauti ya Uchambuzi wa Magazeti iko hapa, stori hizo na nyingine zote ziko hapa.
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.