Kwenye list ya mastaa wa Bongo Flevs walio katika uhusiana ya kimapenzi basi lazima couple hii uhusishe ambayo Dec 20 imeingia katika hatua ya juu baada ya Nuh Mziwanda kumvisha pete ya uchumba Zuwena Mohamed aka Shilole.
Tukio hilo special la wapenzi hao wawili lilifanyika usiku wa kushereherekea siku ya kuzaliwa kwa msanii wa Bongo Fleva Shilole ambaye aliwaalika ndugu,jamaa na marafiki mbalimbali wakiwemo wasanii wenzake.