NI Agosti 28, 2021 zimefanyika Fainali za Ndondo Cup ambapo Vifundo FC ya Temeke imekutana na Tabata All Stars, katika mchezo huo wa dakika 90 kumalizika Vifundo waliibuka kwa ushindi goli 1-0 Tabata All Stars.
Mchezo huo umechezwa katika uwanja wa Bandari uliopo Temeke jijini Dar es Salaam.
Hapa Millardayo.com imekusogezea picha kumi za matukio mbalimbali kutoka kwenye mchezo huo.







MAPYA YAIBUKA MWILI WA HAMZA “KUZALIWA KWAKE NI BALAA, WAJE WACHUKUE MWILI”