Aliekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Elias Kwandikwa amezikwa leo Agosti 9, 2021 katika kijiji cha Butibu,Ushetu Wilaya ya Kahama na miongoni mwa viongozi waliohudhuria mazishi hayo ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Katika Mazishi hayo mizinga 17 ilipigwa ikiwa ni utifaki ya kijeshi kwa Waziri wa Ulinzi au Mkuu wa Majeshi kama atatangulia mbele za haki.
NI HESHIMA ZA KIJESHI MAPOKEZI YA MWILI WA KWANDIKWA KIJIJINI KWAO
ZUNGU AFUNGUKA “TULIMUAMBIA HAPANA KWANDIKWA, PITA HIVI MPAKA YAMFIKIE RAIS”
GWARIDE LA KIJESHI WAKIBEBA MWILI WA KWANDIKWA NA KUTEMBEA KIJESHI MPAKA MAKABURINI
KWANDIKWA APEWA HESHIMA YA MIZINGA 17, JESHI LATOA UFAFANUZI