Ni Julai 7, 2023 ambapo Mwimbaji wa nyimbo za asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto amefika katika viwanja vya Maonesho ya 77 jijini Dar es Salaam akiwa amewasili na kikundi chake cha kitamaduni.
Mwimbaji huyo wa nyimbo za Asili pia atapata nafasi ya kutumbuiza katika bando maalum la Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ikiwa kama sehemu ya kuonesha mila na Desturi.