Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya DSM na kuzungumza na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, Watendaji wa Bandari ya Tanzania TICTS, na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS)