Hali ilivyo kwa Mkapa kabla ya game ya Yanga na Simba SC kuanza leo, katika michezo mitano iliyopita Yanga kashinda mitatu na kwa sare za mbili.
Je leo Octoba 23, 2022 Nani kuibuka Mshindi mimi na wewe hatujui, hapa nimekusogezea baadhi ya picha ushuhudie kile kinachojiri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya Watani wa jadi hao kuanza kukipiga uwanjani hapo.