Ni Headlines za Rapper kutokea Marekani, Young Thug ambae time hii anamiliki vichwa vya habari baada ya kununua Pete yenye madini ya Almasi yenye thamani kubwa ambayo imeleta gumzo mitandaoni.
Staa huyo amenunua pete hiyo kwa dola za kimarekani Milioni 1.8 ambazo ni sawa za pesa kitanzania Bilioni 4.1.
Taarifa hizo amethibitisha kupitia ukurasa wake wa instagram (Insta-Story).
“1.8 lil Niggas” ✍….@thuggerthugger1
LESO ALIYOFUTIA MESSI MACHOZI INAUZWA BILIONI 2.3