Pichaz jinsi Serengeti Fiesta 2014 ilivyopokelewa kwa shangwe 88.5 Morogoro
Share
1 Min Read
.
SHARE
.
Show ya Serengeti Fiesta 2014 iliyofanyika Jumapili,Sept 21 kwenye uwanja wa Jamhuri Stadium imefana baada ya wakazi wa (88.5) Morogoro kupokea kwa shangwe burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali