Top Stories

“Rais Magufuli asiingie kwenye huu mtego”-Mbunge Mlinga (+video)

on

Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga amemtaka Rais John Pombe Magufuli kutoingilia kati suala la Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe pamoja na Mbunge Ester Matiko ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es salaam.

Dr. Tulia tena Bungeni leo na matatizo yake ya Mbeya

Soma na hizi

Tupia Comments