Michezo

Uwanja wa Taifa umejaa, tazama Polisi walivyopiga mabomu kutawanya Watu (+video)

on

LIVE kutoka Uwanja wa Taifa Dar es salaam sasa hivi taarifa tulizonazo ni kwamba Uwanja umejaa mpaka imelazimika Polisi watumie bomu la machozi kuwatawanja Watu walio nje waondoke kwenye kuangalizia mechi kwenye TV, AyoTV imenasa tukio hilo baada ya bomu kupigwa

VIDEO: JAMAA KATOKA MANYARA ANAKIAMSHA UWANJA WA TAIFA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

ULIPITWA NA MC PILIPILI???? ASEMA “NIMEZOEA KUZINGULIWA KWENYE MAPENZI, NI SHETANI… SIKUWAHI KUPATA MZURI KAMA HUYU” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments