Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole amejibu maneno yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha CUF Prof. Haruna Lipumba kuhusu kubadilika kwake kwa misimamo na kuwa ana njaa sana ndio amebadilika.
CCM NAO WATOA TAMKO JUU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA