Jioni ya saa 12 December 9 2017 Wanamuziki maarufu Nguza Viking (Babu Seya) na Mtoto wake Papi Kocha waliachiwa huru kutoka kwenye gereza la Ukonga Dar es salaam kufuatia msamaha wa Rais Magufuli kwenye sherehe za miaka 56 ya Uhuru.
Breki ya kwanza ya Wanamuziki hawa baada ya kutoka Gerezani walikokaa kwa miaka 13 kutumikia kifungo cha maisha ilikua ni kumtafuta Mchungaji alipo…. bonyeza play hapa chini kwenye hii video kujionea
HD VIDEO: JPM ALIVYOTANGAZA KUWASAMEHE BABU SEYA NA PAPI KOCHA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA
VIDEO ILIYONASA BABU SEYA NA PAPI KOCHA WAKITOKA GEREZANI UKONGA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA