Leo April 5, 2019 Wakazi wa Jiji la Tanga wamepata tabu kutofautisha kati ya namba 2001 na 20001 kila mmoja akitaja kwa namna anavyoona huku wengine wakitoa namba na kutaja herufi. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama walivyosoma watu wa Tanga.
KISA BOYFRIEND ANATAKA MTOTO, DADA KAENDA KUIBA KICHANGA CHA SIKU MOJA