Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU nchini Tanzania Kamishna wa Polis Diwan Athumani amefika mkoani Kagera kwa ajili ya kukabidhi Ofisi kwa Kaimu Katibu Tawala baada ya yeye kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU
Baada ya makabidhiano hayo amefanya mkutano na waandishi wa Habari ambapo ameeleza vipaumbele vyake sambamba na kazi ambazo tayari wamefanya ikiwa ni pamoja kukamatwa kwa Wakurugenzi sita mkoani Tanga kwa kuhujumu uchumi.
“Someni alama za nyakati Nchi hii sio salama kwa wala rushwa” Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU