AyoTV

VIDEO: Mbunge aliyetuhumiwa Ugaidi katumia dk 5 kueleza ilivyokuwa

on

Siku chache baada ya kesi ya Ugaidi iliyokuwa inamkabili Mbunge wa Bukoba Mjini Wilfred Lwakatare kuisha baada ya Mahakama ya Rufaa Tanzania kutupilia mbali maombi ya kibali cha Mkurugenzi wa mashtaka DPP kutaka kupinga maamuzi ya Mahakama Kuu.

Lwakatare amewasili Jimboni kwake na ameeleza namna kesi hiyo ilivyompa wakati mgumu…kwenye hii video kuna kila kitu alichozungumza kuhusu kesi hiyo!!

Soma na hizi

Tupia Comments