Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya kwa mara ya kwanza amerudi Jimboni kwake kwa wapiga kura wake baada ya kushinda kesi kuwaomba ushauri wa kufungua dhidi ya Stephen Wasira kudai fidia baada ya kumshinda kesi.
July 28, 2017 Mahakama ya Rufaa ilitupilia mbali rufani iliyofunguliwa na wapiga kura wa Jimbo la Bunda Mjini katika kesi ya uchaguzi wa kupinga matokeo yaliyompa ushindi Mbunge wa Jimbo hilo, Ester Bulaya ambapo Wapiga kura hao walikuwa wanampigania aliyekuwa Mgombea Ubunge wa CCM Stephen Wasira.
Baada ya kushinda kesi hiyo Ester Bulaya amerudi Jimboni kwake leo August 16, 2017 na kuzungumza na wapiga kura wake ambapo miongoni mwa mambo aliyozungumza ni pamoja na kuomba ushauri wa kufungua kesi ya kudai fidia dhidi ya Stephen Wasira.
Tazama kwenye video hii kila kumuona Ester Bulaya akiomba ushauri!!!!
ULIPITWA? Ester Bulaya afunguka gharama aliyoitumia kwenye kesi yake na Wasira…tazama hapa!!!