Usiku wa August 31 kuamkia September 1 ndio siku ambayo dirisha la usajili kwa vilabu vya Ulaya lilifungwa rasmi, licha ya dirisha la usajili kufungwa na kuona baadhi ya rekodi za usajili zikivunjwa, kocha wa Man United Jose Mourinho anaripotiwa kuanza kuandaa mipango ya usajili ya msimu ujao.
Stori kutoka The Guardian na Bleacher report moja kati ya headlines ilizoamka nazo leo ni pamoja na Jose Mourinho kuhusishwa tayari kumuweka kwenye mipango yake mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea klabu ya Atletico Madrid Antoine Griezmann.
B/R Exclusive from @DeanJonesBR | #MUFC want Antoine Griezmann in 2017—possible long-term replacement for Rooney. pic.twitter.com/csbBBIpgGq
— Bleacher Report UK (@br_uk) September 1, 2016
GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1