Top Stories

PICHA 20: Wasanii walivyoshiriki katika mazishi ya Mama Abdul

on

Hatimaye mwili wa muigizaji wa filamu hapa Tanzania, Salome Nonge maarufu kwa jina la Mama Abdul umeagwa rasmi na kuzikwa katika makaburi ya Chang’ombe, hizi hapa picha ilivyokuwa katika mazishi hayo.

WATU MBALIMBALI WALIVYOJITOKEZA KUMZIKA MAMA ABDUL CHANG’OMBE DSM

Soma na hizi

Tupia Comments