Benki Kuu ya Tanzania imefanya ukaguzi wa maduka ya kubadilishia fedha za kigeni Jijini DSM February 27, 2019 na kubaini maduka mengi yanaendesha biashara hiyo kinyume na sheria, hivyo Benki Kuu imeanza mchakato wa kufuta leseni za maduka yote ambayo hayafuati utaratibu.