Mwili wa Marehemu Ruge Mutahaba utawasili kesho mchana ukitokea Afrika Kusini na utahifadhiwa Hospitali ya Lugalo na utaagwa siku ya Jumamosi katika viwanja vya Karimjee DSM kisha siku ya Jumapili utasafirishwa kwenda Bukoba ambapo mazishi yatafanyika siku ya Jumatatu.