Kutoka nchini Kenya, kijana mmoja ambaye ni mwanafunzi wa Sekondari anaripotiwa kuuguza majeraha baada ya kukatwa vidole vinne vya mkono wa kushoto.
Inaelezwa kuwa kijana huyo ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Gathinja amekatwa vidole hivyo baada ya kuiba njugu kwenye shamba la mwalimu wake.
Mwalimu wake huyo Benson Munyagi ameshakamatwa na polisi na utafiti unaendelea.
Rungwe amempata Binti yake alietekwa ameeleza alichoulizwa na Watekaji