Mtendaji wa Kata ya Kaloleni Stansaus Ismail amewaita wamiliki wa nyumba za wageni katika eneo la Kaloleni kunakodaiwa kufanyika kwa biashara ya ngono nakusema amewapa muda wa kujipanga na muda si mrefu wataanza kuwakamata.
Dada aacha ukondakta na kuamua kuwa dereva wa mitambo (Excavator)