Mix

Maneno 30 Ridhiwani Kikwete aliyoyaweka kwenye picha yake na Lowassa

on

Mbunge wa Chalinze kupitia CCM Ridhiwani Kikwete ni miongoni mwa waliohudhuria mechi ya Simba vs Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam ambapo walikua wamekaa V.I.P pamoja na Wanasiasa wengine akiwemo Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa.

Saa kadhaa baadae baada ya kukutana nae na kusalimiana na kupigwa picha pamoja, Ridhiwani amechukua time yake kuandika yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Instagram >>> Siasa ni Shule ambayo haina mwisho. Nahisi bado niko shule ya Msingi na ninaendelea kujifunza.#miminikazitu #chalinzenikazitu#siasasivita #tuhubiriupendo

ULIPITWA? Steve Nyerere atokwa na machozi na kuongelea sauti yake ya maongezi ya simu iliyosambaa akizungumza na Mama Wema Sepetu, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Tazama hapa chini magoli yote ya mechi ya Yanga vs Simba leo February 25 2017 Dar es salaam, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments