Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya Mfanyabiashara Al Masoud kupinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyompa ushindi Msemaji wa Yanga, Haji Manara katika kesi ya madai kuhusu Perfume.
Hapa nimekusogezea ufahamu alichokisema Haji Manara kufuatia kushinda kesi hiyo.