Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, unaambiwa msanii kutoka Bongoflevani, Shilole alifanya Birthday Party yake usiku wa Dec 20 2016 wakaalikwa mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva iliyofanyika club ya Next Door VIP Lounge.
Nimekuwekea hapa picha kutoka kwenye Birthday Party hiyo
FULL VIDEO: IRENE UWOYA ALIVYOANGUSHA PARTY YA BIRTHDAY YAKE, Bonyeza Play hapa chini kutazama
Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE