Leo August 21, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi John William Herbert Kijazi kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Balozi Kijazi ni Katibu Mkuu Kiongozi, uteuzi huo unaanza leo August, 2020.
Balozi Kijazi anachukua nafasi ya aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Hayati Benjamin William Mkapa.
ALIEMSHINDA ASKOFU GWAJIMA KURA ZA MAONI KAWE AFUNGUKA “NINA MBINU NYINGI ZAIDI”