Ni February 12, 2022 ambapo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na CRDB Bank wamezindua program ya uwezeshaji kwa wajasiriamali ya ‘INUKA NA UCHUMI WA BULUU’.
Kupitia programu hii, wajasiriamali Zanzibar watanufaikana mikopo isiyo na riba pamoja mafunzo ya biashara itakayowezesha kukuza na kuboresha biashara zao.
Programu hii inatarajiwa kunufaisha zaidi watu laki 7 kutengeneza zaidi ya ajira laki 1.
‘Mheshimiwa Rais sambamba na uwezeshaji benki yetu imewezesha kutoa nusu Bilioni maana yake Milioni 500 kwenda mbele katika miradi ya jamii kwa upande wa ZNZ, miradi hii inahusisha ujenzi wa nyumba za madaktari na ofisi za mashekh katika mkoa kusini mwa Unguja’- Abdulmajid Nsekela
MAJALIWA ALIVYOMKARIBISHA ZUHURA YUNUS IKULU, RAIS SAMIA ATIA NENO WATU WAKAANGUA KICHEKO