Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Rais Samia asema “anayekosolewa, akubali kujikosoa” (video+)
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Rais Samia asema “anayekosolewa, akubali kujikosoa” (video+)
Top Stories

Rais Samia asema “anayekosolewa, akubali kujikosoa” (video+)

November 24, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Rais Samia akiwa Arusha leo amefungua Mkutano wa 27 wa Jumuiya ya Wanasheria Afrika Mashariki ambapo amesema Tanzania imeamua kuzingatia misingi ya haki na inajitahidi kujenga Taifa la haki, demokrasia, usawa na mafanikio ikiwa ni pamoja na kukubali kukosoana na anayekosolewa akubali kujikosoa.

“Mafanikio yoyote ya kiuchumi yanayotokana na mbinu zinazokiuka misingi ya haki hayawezi kuwa endelevu hata siku moja, kutenda haki na kuheshimu utawala bora ni misingi ambayo Serikali yoyote inayotokana na Watu haina budi kuifuata bila shinikizo lolote kutoka nje”

“Na Serikali ya Watu maana yake imepigiwa kura na Watu, imekaa kwa utashi wa Watu, haina budi kufuata misingi ya haki, isipofuata misingi hiyo Serikali sio ya Watu, Tanzania tumeamua kuizingatia misingi hiyo na tutajitahidi kuijenga Tanzania yenye haki, demokrasia, usawa na mafanikio”

“Tutaendelea na jitihada za kusikiliza kila Mtu, wapi kuna gape tukubali kukosoana, na anayekosolewa akubali kujikosoa, then turekebishe tuende na mambo yetu, na haya si matamanio ya Serikali ya awamu moja ama nyingine, ni matakwa na misingi ya Katiba yetu”

RAIS SAMIA ASEMA, “ANAYEKOSOLEWA, AKUBALI KUJIKOSOA, TUKUBALI KUKOSOANA”

You Might Also Like

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

Edwin TZA November 24, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha: Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Burundi aipongeza benki ya CRDB ya Burundi kwa Miaka 10 ya Mafanikio
Next Article Picha: Muonekano wa maeneo ya Salasala Jijini Dar es Salaam
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?