Kuibuka kwa umaarufu kwa rapper Bobby Shmurda mnamo 2014 kulikoma baada ya kukamatwa na kushtakiwa kwa njama ya mauaji na kumiliki silaha kumempelekea kubadilika na hivi sasa anaonekana kubadilisha maisha yake na kuwataka watoto kuachana muziki wa rap kwa sababu ameuita kama muziki hatari.
Brooklyn MC, ambaye alitumikia karibu miaka saba gerezani, alifichua uamuzi wake wa kuacha rap wakati wa kuonekana hivi karibuni kwenye podcast ya The Danza Project na kuna wakati fulani katika mazungumzo hayo, Bobby Shmurda hata alidai kwamba sababu yake ilihusishwa na kizazi kipya cha rappers wanaoongoza watoto kupotea yaani muziki wa rap.
“These kids are following you guys, and you’re rapping about these fucking lifestyles…and it’s very dangerous to the communities [because] these little kids [really] think that [it’s] going on, and you did not even live [any] [of] [it],” the rapper said.
“Watoto hawa wanawafuata nyie, na mnarapu kuhusu maisha haya ya kihuni…na ni hatari sana kwa jamii kwa sababu watoto hawa wadogo wanafikiri kwamba ndio maisha ya kweli, na hata yana faa huishi. rapper huyo alisema.
Shmurda alisema kuwa hivi sasa hapendi muziki wa rap na hupendelea aina nyingine ya mpya wakati yupo club. Kwa maoni yake, muziki wa kufoka unakusudiwa kuinua watu, sio kushawishi kuwa makatili.
“Rap is supposed to be telling m••• to go from negative to positive, coming from poverty to go to riches…and how to stay in that and how to change. That’s the shit that I want to hear. I wanna hear about living life…”
Badala ya kusikiliza muziki wa rap, Shmurda anapendelea reggae siku hizi