
Rapper kutokea Unity Entertainment Stereo ambaye ameachia wimbo wake uitwao ‘Wako’ aliomshirikisha muimbaji wa Kenya,Victoria Kimani leo Des 6 ameongezewa CV yake ya Elimu baada ya kutunukiwa shahada ya ‘Bachelor of Science in Urban and Regional Planning’ kutoka chuo kikuu cha Ardhi Dar es Salaam.


Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook