
Rehema Chalamila aka Ray C baada ya ukimya wa muda mrefu kwenye tasnia ya muziki time hii amerudi rasmi na hii single mpya yake Mshum Mshum ambayo unaweza kuisikiliza au kuidownload kwa kubonyeza hapa >>> HAPA
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>>twitter Insta Facebook