Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongela amekutana na Wanyabiashara pamoja na kamati ya Viongozi wa kamati ya Ulinzi na Usalama ambapo ametoa taarifa ya jinsi ya shughuli za biashara zinazoweza kufanyika huku akisema zoezi hilo litafanyika kwa utulivu kwa kufuata utaratibu.
Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea hapa taarifa kamili kutokea Mkoani Arusha, unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.
SIMBA YAPEWA ONYO NA MASHABIKI WA TP MAZEMBE “TUTAWAPIGA 3, WASHIKAJI ZETU”