Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jijini Mbeya (MBEYAUWSA) kuwakatia maji wadaiwa sugu zikiwemo Taasisi za Umma na Binafsi zinazotumia maji ya Mamlaka hiyo kwa wizi kwa kisingizio cha kuchimba visima.
Akizungumzia hayo RC Chalamila pia ameongelea maono aliyoyaona yeye kuhusiana na ugonjwa wa Corona.