Wakati Dunia ikitarajia kuadhimisha siku Mwanamke Duniani March 8, Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa kalipio kwa wote wanaofanya ukatili wa kijinsia katika jamii ya Mkoa huo hususani wanawake na watoto.
RC Mwanri ametoa kalipio hilo alipokuwa akipokea msafara wa timu wasanii inayozunguka katika Mikoa ikielekea Mkoani Simiyu kwenye kilele cha maadhimisho hayo.
MBOWE AMEWAJUA WALIOMVAMIA KWAKE “KIONGOZI KAWATUMA, KAWANYWESHA POMBE”