RC wa Tabora Aggrey Mwanri amewaagiza Wakuu wa Wilaya Mkoani humo kufuatilia na kuwachukulia hatua Wamiliki wa Shule binafsi wanaositisha mikataba ya walimu kwa kisingizio cha Corona huku akipiga marufuku Tution.
Agizo la RC Mwanri limekuja katika kipindi ambacho shule na vyuo vimefungwa kwa tahadhari ya janga la dunia la homa ya mapafu unayotokana na Virusi vya Corona.
HUYU NDIE AMEFARIKI KWA CORONA, URAFIKI WA DAMU NA BOSS KUSAGA, UKARIBU NA MO DEWJI