Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: RC Makongoro anena kuhusu Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza
Share
Notification Show More
Latest News
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
March 24, 2023
Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’
March 24, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > RC Makongoro anena kuhusu Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza
Top Stories

RC Makongoro anena kuhusu Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza

January 11, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe .Charles Makongoro Nyerere amesema katika Mkoa huu wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza wataingia darasani bila usumbufu wowote kwa kuwa Serikali imejenga madarasa ya kutosha.

Makongoro amesema hayo leo Januari 10, 2023 wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa ujenzi wa Madarasa shule ya Sekondari ya kutwa Magugu na shule mpya ya Sekondari Sarame kata ya Magugu wilaya ya Babati.
Amesema milioni 40 za tozo zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan zimejenga madarasa mawili shule ya Magugu na Milioni 470 zimejenga shule mpya ya Sekondari Sarame kupunguza makali ya wanafunzi kwenda umbali mrefu.

Aidha ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Babati kwa kufanya vizuri katika ujenzi wa Madarasa hayo ya Mama Samia Suluhu Hassan.

RC Makongoro amewataka wazazi wenye watoto wanaopaswa kuingia kidato cha kwanza mwaka 2023 kuwapelekea shule bila kujali hali walizo nazo kwa kuwa lengo la serikali ni kuhakikisha kila mtoto anapata Elimu.

You Might Also Like

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

Edwin TZA January 11, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Utajiri wa Dj Ally B anaye-trend kwa mizuka ndani ya gari, kasimulia maisha yake, “Nimeishia la saba”
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 11, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Top Stories March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Top Stories March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Top Stories March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Top Stories March 24, 2023

You Might also Like

Top Stories

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

March 24, 2023
Top Stories

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

March 24, 2023
Top Stories

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

March 24, 2023
Top Stories

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

March 24, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?