Michezo

Unajua imepita miaka mingapi tangu mara ya mwisho Fulham kupata sare Old Trafford? Jibu hili hapa

on

article-2554064-1B5519B300000578-601_964x390

Klabu ya Manchester United imekuwa ikiweka rekodi mpya ambazo ni hasi kwa klabu hiyo tangu kocha David Moyes aliporithi rasmi mikoba ya Sir Alex Ferguson mnamo Julai 1, 2013.

rec

Hizi ni baadhi ya rekodi zilizowekwa na Man United chini ya Moyes kabla ya mchezo wa jana

Katika mchezo wa jana dhidi ya Fulham ulioisha kwa sare ya 2-2, rekodi nyingine ilitengenezwa.

Imepita miaka 55 tangu Fulham waweze kupata sare ndani ya uwanja wa Manchester United – Old Trafford ambapo mara ya mwisho kwa klabu hiyo ya London kupata sare OT ilikuwa mwaka (1959)

Unapenda kuwa karibu na kila tukio linalotokea duniani? kiapo cha millardayo.com ni kukuhudumia kila siku hivyo unaweza kujiunga na mimi kwenye https://www.facebook.com/millardayo https://twitter.com/millardayo na http://instagram.com/millardayo ili kupata stori kwa uharaka zaidi.

Tupia Comments