Baada ya kuwepo gumzo mitandaoni baada ya kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda juu ya matukio ya burudani kutotakiwa kufanyika zaidi ya saa sita usiku kwenye maeneo ya wazi Dar es salaam, Ruge ameongea.
Ikiwa Tamasha la FIESTA 2017 linatarajiwa kufanyika Leaders Club Jumamosi hii November 25 huku ticket tayari zikiwa zimeshazagaa mitaani, Ruge Mutahaba ambae ni Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group amesema “Tunafanya juhudi za kujaribu kuona kama tunaweza tukampata Mkuu wa Mkoa”
Msikilize zaidi akiongea na kujibu swali, bonyeza play hapa chini
MAGAZETI LIVE: MKE WA LISSU AFUNGUKA WALIOFANYA SHAMBULIO, MSAFARA WA NYALANDU WAPIGWA MABOMU, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA